'Mnashuhudia ninavyotukanwa'

  • | BBC Swahili
    2,067 views
    'Kelele nyingi zinapigwa wakiona hujibu wanasema sasa tumtukane atajibu au hajibu, Sijibu! nageuka chura masikio sisikii kabisa nachotaka mageuzi ya kiuchumi' Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezungumza hayo wakati akipokea gawio na michango kutoka mashirika na taasisi za umma Ikulu jijini Dar es Salaam. #bbcswahili #tanzania #raissamiasuluhuhassan Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw