Molo: Wakili akamatwa na polisi kwa tuhuma za uchochezi dhidi ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu

  • | NTV Video
    835 views

    Kizaazaa kilishuhudiwa nje ya kituo cha polisi cha Molo baada ya wakili mmoja aliyehudumu Katika ikulu kufikishwa Katika afisi za DCI mjini Molo Kwa tuhuma za uchochezi dhidi ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu katika shamba la shule ya msingi ya Michinda.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya