Monica Muteti ni mpishi katika hoteli ya kifahari ya Villa Rosa Kempiski, Nairobi

  • | Citizen TV
    Monica Muteti ni mpishi katika hoteli ya kifahari ya Villa Rosa Kempiski, Nairobi Monica ni mlemavu wa kusikia na kuongea, ila hayo hayajazima ndoto yake Monica alikuwa ameajiriwa katika hoteli ya Radisson Blu kabla ya kuitwa Kempiski