Moshi mweupe watoka kwenye bomba la paa la Kanisa la Sistine

  • | K24 Video
    600 views

    HABARI ZA HIVI SASA: Moshi mweupe watoka kwenye bomba la paa la Kanisa la Sistine, ikiashiria kwamba Papa mpya amechaguliwa. #K24Updates