Moshi wa mlipuko ukitanda eneo la Khan Younis, Gaza

  • | VOA Swahili
    214 views
    Moshi unaotokana na mlipuko ukitanda eneo lote la Khan Younis karibu na mpaka wa Israel na Gaza Ijumaa (Februari 16), kama unavyoshuhudiwa kutoka upande wa kusini mwa Israel. Israel imeendelea kushambulia kwa mabomu Ukanda wa Gaza kwa zaidi ya miezi minne baada ya wanamgambo wa kikundi cha Hamas waliposhambulia miji kadhaa ndani ya Israel. Mashambulizi yanayofanywa na Israel huko Gaza yameuwa zaidi ya Wapalestina 28,700, kulingana na mamlaka za afya za Palestina, imeharibu eneo kubwa la ukanda huo na kusababisha karibia watu milioni 2.3 kukoseshwa makazi. - Reuters ⁣ #Haifa ⁣⁣⁣⁣⁣#waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣⁣ #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen #iran⁣ ⁣