Moto kutoka kwa kinyozi uliteketeza maduka mengi sokoni Kisumu

  • | Citizen TV
    275 views

    Wafanyabiashara wa soko lililoko steni ya Kisumu wanakadiria hasara ya thamani isiyojulikana baada ya moto kutekeketeza maduka yao Jumanne usiku