Skip to main content
Skip to main content

Moto mkuu wazuka eneo la Katani Syokimau usiku wa kuamkia leo.

  • | Citizen TV
    9,648 views
    Duration: 48s
    Moto mkubwa ulizuka eneo la Katani Syokimau na kuteketeza baadhi ya nyumba za wakaazi usiku wa kuamkia leo