- 452 viewsMoto ulisababisha vifo vya takriban watu 10 katika jumba la wastaafu kaskazini mwa Uhispania, serikali ya mkoa wa Aragon imesema leo Ijumaa. Moto huo katika mji wa Villafranca del Ebro, kilomita 35 kusini mashariki mwa Zaragoza ulianza katika makazi ya wazee mapema leo. Ilichukua saa kadhaa kwa wafanyakazi wa zima moto kutoka eneo la Zaragoza kudhibiti moto huo, msemaji wa serikali ya mkoa alisema. Msemaji huyo hakusema iwapo waathirika wote walikuwa wakazi wa mji huo wa wastaafu, ambapo takriban watu 82 wanaishi hapo. Mtu mmoja alikuwa katika hali mbaya kiafya, huku watu kadhaa wengine wakipata huduma, haswa kutokana na kuvuta moshi. Chanzo cha moto huo bado kinaendelea kuchunguzwa. #moto #uhispania #vifo #makazi #wazee #wastaafu #jengo #aragon #zaragoza #voa #voaswahili
Moto Uhispania wauwa watu 10 katika jumba la wastaafu
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has outlined a bold vision for Kenya should he clinch the presidency in the 2027 General Election.
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has launched a scathing attack against President William Ruto, questioning his integrity, and suitability to hold public office.
- 6 Aug 2025 - Firebrand Busia Senator and 2027 presidential hopeful Okiya Omtatah has declared his net worth to be in the range of Ksh.100 million to Ksh.200 million.
- 6 Aug 2025 - A section of Members of Parliament allied to the Kenya Kwanza administration have strongly rejected a report by the Kenya Human Rights Commission (KHRC) that called for the scrapping of the Hustler Fund.
- 6 Aug 2025 - A 14-year-old who was on the verge of being married off in Kajiado County was rescued, amidst rising concerns of early child marriages during the school holiday season.
- 6 Aug 2025 - How firm's bid to turn waste into cash is paying off
- 6 Aug 2025 - MPs threaten to impeach Mbadi, PS for 'contempt'
- 6 Aug 2025 - If he stabilises the economy, 2027 election will be Ruto's to lose
- 6 Aug 2025 - Why we should start thinking twice before having children
- 6 Aug 2025 - Audit exposes Sh9.4b hole in e-Citizen, shows millions paid in illegal charges