Skip to main content
Skip to main content

Moto wa bweni Kenya: Wanafunzi 9 wafikishwa kortini

  • | BBC Swahili
    9,871 views
    Duration: 1:16
    Wanafunzi tisa wanaoshukiwa kusababisha moto uliotokea katika Shule ya wasichana ya Utumishi na kusababisha vifo vya wanafunzi 16 wataendelea kusalia rumande wakisubiri uamuzi siku ya Jumatano, Juni 3 kama wataachiliwa kwa dhamana au kuendelee kuzuiliwa hadi uchunguzi ukamilike. Ronclif Odit anaelezea Video: Brian Mala #bbcswahili #kenya #utumishigirls Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw