Skip to main content
Skip to main content

Moto wateketeza bweni la shule ya wasichana Mumbuni, Machakos

  • | Citizen TV
    4,366 views
    Duration: 1:40
    Moto umezuka katika shule ya upili ya wasichana ya Mumbuni mjini Machakos na kuteketeza mali ya wanafunzi pamoja na vitanda ndani ya sehemu ya bweni moja .