Moto wateketeza bweni ya shule ya upili ya wasichana ya Nyangoge eneo la Bonchari

  • | Citizen TV
    413 views

    Zaidi ya wanafunzi 200 kutoka shule ya upili ya wasichana ya Nyangoge kule Bonchari wamekesha kwenye baridi usiku kucha baada ya moto mkubwa kuteketeza bweni moja ndani ya shule hiyo