Moto wateketeza ekari 6 za nyasi na miti

  • | Citizen TV
    1,212 views

    Moto mkubwa uliosababishwa na kuanguka kwa nyaya za umeme, umeteketeza ekari sita za nyasi, na miti ya kustahimili kiangazi iliyokuwa imepandwa na wafugaji katika hifadhi ya mazingira ya kijamii ya namunyak, samburu mashariki. Usimamizi wa hifadhi hiyo umesikitikia hali hiyo na kusema inalemaza jitihada zao za kulinda na kuhifadhi mazingira, kama bonface barasa anavyotuarifu