Moto wateketeza maduka mawili archerspost Samburu

  • | Citizen TV
    319 views

    Wafanyabiashara katika mji mdogo wa acherspost Samburu mashariki,wanakadiria hasara ya maelfu ya pesa baada ya moto kuteketeza maduka mawili usiku wa kuamkia leo