Moto wateketeza magari na maduka Kitale

  • | Citizen TV
    585 views

    Mafundi wa magari pamoja na wamiliki wa magari, katika karakana iliyopo eneo la makuti, mjini kitale wanakadiria hasara baada ya moto kuteketeza maduka, magari mawili pamoja na vifaa vya kazi vyenye thamani isiyojulikana. Mafundi hao wanaitaka serikali kuanzisha uchuguzi kubaini chanzo cha mkasa huo.