Moto wateketeza nyumba 50 Mathare | Watoto wawili wajeruhiwa

  • | Citizen TV
    760 views

    Maafisa wa Polisi hapa Nairobi wameanzisha uchunguzi kuhusu moto ulioteketeza kijiji cha Jangwani eneo la Mathare Area 4, na kuharibu nyumba zaidi ya 50. Aidha, watoto wawili wanaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya Kenyatta walikozalazwa kwa majeraha mabaya ya moto