Mpangilio katika kivukio cha feri umebadilika kufuatia corona

  • | Citizen TV
    Hapo awali mwanahabari wetu Francis Mtalaki ametupasha kuhusu marufuku ya uuzaji wa nguo za mitumba kama njia ya kuzuia maambukizi ya virusi vya corona katika kaunti ya Mombasa na hivi sasa ameelekea katika kivukio cha ferry. Tuungane naye moja kwa moja atujuze jinsi mpangilio ulivyo hasa kwa wanaovuka wakati huu ambapo wananchi wanahimizwa kukaa au kusimama mbali mbali ili kujikinga na corona.