Mpangilio wa usafiri wakati wa michuano ya CHAN

  • | Citizen TV
    1,667 views

    Kuanza rasmi kwa mchuano wa chan jijini nairobi kutatatiza pakubwa usaifir wa wale watakaotumia barabara zilizoko karibu na viwanja vya nyayo na kasarani ambako baadhi ya mechi zimepangiwa kuchezwa mwezi huu. Watakaotumia barabara kuu ya Mombasa, Langata, Thika ni miongoni mwa watakaoathirika kulingana na notisi ya polisi inayoeleza barabara zitakazotumika kesho harambee stars itakapomenyana na dr congo na morocco kuchuana na Angola.