Mpango wa Barabara Kuu Utaunganisha nchi 5 Afrika
Nchi za Afrika Magharibi zinashinikiza kujengwa kwa mtandao wa barabara kuu zinazounganisha nchi tano kutoka Ivory Coast hadi Nigeria.
Benki ya Maendeleo ya Afrika inasema mradi huo utakuwa ni kichocheo cha uchumi kwa nchi zote husika. Senanu Tord anaripoti kutoka Accra, Ghana.
Nii Annan Ofori ni kiongozi wa kijadi na msimamizi wa ardhi katika eneo la kitamaduni la Ga East nje kidogo ya mji mkuu wa Ghana, Accra.
Jamii yake imechaguliwa kunufaika na sehemu ya ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 1028 inayoanzia Abidjan hadi Lagos.
Barabara ya chini ya ardhi yenye urefu wa kilomita tatu itapita katika eneo la jamii hii.
Mpango huu unaangazia siku za usoni kuiunganisha barabara hii na nchi nyingine, ili kuwa na mtandao mpana katika bara hilo lenye barabara kuu 9 zinazoanzia Cairo hadi Cape Town na kutoka Dakar hadi Djibouti.
Hatua ijayo, kulingana na Jumuiya ya Uchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi, ni kuiunganisha Dakar hadi eneo la Abidjan na Lagos. - VOA
Senanu Tord, VOA News, Accra Ghana
#SenanuTord, #VOANews, #Accra #Ghana #afrikamagharibi #ADB #niiannanofori #kiongozi #jadi
29 Apr 2024
- The fistfight erupted after some of the officers failed to settle a bill after an evening of drinking.
29 Apr 2024
- The directive followed the postponement of the schools' opening date.
29 Apr 2024
- County Security and Intelligence Committees (CSICs) across the country were ordered to immediately enforce the directive.
29 Apr 2024
- Nairobi Senator Edwin Sifuna has stated that the Nairobi County government is overwhelmed by the ongoing rains which have claimed many lives and left many displaced.
29 Apr 2024
- The government has directed County Security and Intelligence Committees (CSICs) across the country to inspect all public and private dams and water reservoirs by 2 p.m. Tuesday.
29 Apr 2024
- Roads and Transport Cabinet Secretary (CS) Kipchumba Murkomen has pleaded with Kenyans to heed all safety directives issued by the national and county governments on the ongoing floods to avert further loss of lives.
29 Apr 2024
- Several people are feared dead after an improvised explosive device (IED) detonated at the centre of Elwak town, Mandera County on Monday.
29 Apr 2024
- Several people are feared dead after an improvised explosive device (IED) detonated at the centre of Elwak town Marsabit County on Monday.
29 Apr 2024
- African leaders on Monday called for rich countries to commit record contributions to a low-interest World Bank facility for developing nations that they rely on to help fund their development and combat climate change.
29 Apr 2024
- Nairobi Governor Johnson Sakaja now says that his administration will give priority to residents of Nairobi City Council (Kanjo) estates when the affordable houses are ready.
29 Apr 2024
- The fistfight erupted after some of the officers failed to settle a bill after an evening of drinking.
29 Apr 2024
- Bomas of Kenya CEO Peter Gitaa Koria has been freed on a Ksh1 million cash bail after denying eight corruption charges relating to the misappropriation of public funds amounting to Ksh8.5 Million. Milimani Chief Anti-Corruption Magistrate Thomas Nzyoki…
29 Apr 2024
- A donkey cart carrying a suspected improvised bomb blew up outside an eatery in Elwak town in Mandera county killing five people and critically wounding five others. Authorities confirmed that the explosion happened Monday at 7.12 am. The targeted…