Skip to main content
Skip to main content

Mpango wa elimu bila malipo wazinduliwa Fafi

  • | KBC Video
    75 views
    Duration: 3:12
    Kwa muda mrefu, ilikuwa vigumu kujiunga na shule ya upili katika eneo bunge la Fafi katika Kaunti ya Garissa kwa vile wazazi hawakuweza kumudu gharama ya masomo. Hata hivyo hali imeanza kuimarika polepole katika eneo bunge hilo. Hii ni baada ya kuanzishwa kwa mpango wa elimu ya upili bila malipo miaka mitatu iliyopita na Mbunge eneo hilo Salah Yakub. Marie Yambo anasimulia zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive