Mpango wa Elimu Kwanza Likuyani inavyowapa Wanafunzi werevu masikini matumaini (sehemu ya pili)

  • | West TV
    26 views
    Mpango wa Mbunge wa Likuyani Innocent Mugabe wa Elimu Kwanza unazidi kuwapa wanafunzi werevu kutoka familia masikini matumaini ya kuendeleza masomo yao ya sekondari kwa miaka minne kwa shule za kitaifa