Mpango wa Elimu Kwanza unavyowapa matumaini Wanafunzi Likuyani (sehemu ya 1)

  • | West TV
    56 views
    Mpango wa Elimu kwanza katika eneo bunge la Likuyani imeshika kasi na Waanfunzi werevu wanaotoka katika familia masikini wameanza kuwa na matumaini ya kuendeleza masomo yao ya sekondari kutokana na ufadhili wa Mbunge wa eneo hilo Innocent Mugabe. Wanafunzi hao wengi wakiwa katika shule za kitaifa, sasa kwa miaka 4 watakuwa wanapokea ufadhili wa masomo kutoka kwa mbunge huyo.