Mpango wa 'One Health' Kajiado

  • | Citizen TV
    36 views

    Mpango wa afya ya pamoja marufu kama One Health unaotekelezwa na shirika la Amref kwa ushirikano na serikali ya kaunti ya Kajiado umetajwa kuendelea kupiga jeki afya ya msingi katika sehemu za mashinani