Mpango wa ushirikiano katika utafiti wazinduliwa

  • | KBC Video
    9 views

    Taasisi ya mafunzo kuhusu lishe bora humu nchini kimetia saini mkataba wa ushirikiano katika nyanja ya utafiti na ubadilishanji mipango na chuo kikuu cha Bayero katika jimbo na Kano nchini Nigeria na vyuo vingine sita humu nchini. Mkataba huo utanufaisha wanafunzi wanaosomea taaluma ya afya na utafiti katika nyanja kadhaa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kndi #nigeria #afya