Mpango wa makao bora ya wanafunzi wa vyuo vikuu

  • | NTV Video
    73 views

    Kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya makazi bora na ya bei nafuu kwa wanafunzi nchini, kampuni ya kibinafsi imeanzisha mchakato wa kutafuta suluhu na maendeleo mapya yanayolenga kukidhi mahitaji ya malazi ya wanafunzi na wahadhiri.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya