Skip to main content
Skip to main content

Mradi wa bandari ya Lamu, barabara, reli na bomba la mafuta umeleta manufaa mengi

  • | Citizen TV
    8,602 views
    Duration: 4:11
    Mradi wa LAPSSET unaendelea kuonekana kama moja ya miradi mikubwa zaidi ya miundomsingi humu nchini . Mradi huo unalenga kuunganisha bandari ya Lamu na nchi za Ethiopia na Sudan Kusini kupitia mtandao wa barabara, reli na mabomba ya mafuta, hatua inayotarajiwa kuimarisha uchumi ya maeneo ya kaskazini mwa Kenya na kisiwa cha Amu.