Mradi wa Kaboni :Mradi huo umezima uhasama baina ya jamii

  • | KBC Video
    39 views

    Mradi wa kaboni ulioko kwenye Hifadhi ya wanyama pori ya Melako katika eneo bunge la Laisamis, kaunti ya Marsabit umekuwa na manufaa mengi kwa jamii zinazoishi eneo hilo.Meneja wa hifadhi ya Melako Simon Saidim anasema mradi huo umebadilisha maisha ya wakazi kwa kutoa suluhu kwa mizozo miognoni mwa jamii za wafugaji. kupitia mpango huo, muundo mbinu wa shule katika eneo hilo umeimarishwa huku wanafunzi kutoka familia maskini wakipata ufadhili wa kimasomo. Wakati huo huo, wasimamizi wa hifadhi hiyo wamekanusha madai kuwa walinzi wamekuwa wakiwanyanyasa na kuwahangaisha wakazi wa eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive