Mradi wa kidimbwi cha samaki cha Siunga Aquapark katika kaunti ya Busia wafufuliwa

  • | Citizen TV
    283 views

    Baada ya miaka miwili ya kungoja na kukata tamaa, wafugaji samaki katika kijiji cha Siunga wadi ya Marachi Kaskazini eneo bunge la Butula sasa wanaelezea furaha yao baada ya mradi huo kuonyesha dalili za kufufuliwa.