Mradi wa kusaidia jamii zinazotoa hifadhi kwa wakimbizi wapongezwa

  • | KBC Video
    22 views

    Viongozi katika kaunti ya Turkana pamoja na jamii zinazoishi katika kaunti hiyo wamehimiza serikali kuongezea muda mradi wa kushughulikia watu walioachwa bila makao humu nchini. Mradi huo unaotekelezwa kupitia mkakati wa ushirikishwaji jamii umepongezwa kwa kuleta mabadiliko mbali na kuwiana na ajenda ya serikali ya kuwainua kiuchumi watu wa tabaka ya chini

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive