Mradi wa kwanza wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu unatazamiwa kuzinduliwaa mwezi Agosti

  • | Citizen TV
    374 views

    Mradi wa kwanza wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu eneo bunge la Kisauni unatazamiwa kuzinduliwa mwezi Agosti katika mtaa wa mabanda wa Mtopanga. Zaidi ya nyumba 800 zinatazamiwa kujengwa kwa kima cha shilingi bilioni tano