Mradi wa maji wa Gathiriga, Nyandarua wazinduliwa

  • | KBC Video
    1 views

    Wakazi wa kijiji cha Gathiriga, kaunti ya Nyandarua watanufaika na maji safi baada ya kufunguliwa kwa kisima kinachotumia nishati ya miale ya jua na mfumo wa kusambaza maji kupitia serikali ya kaunti. Haya yanajiri baada ya kuvumilia takriban miongo mitatu bila ya chanzo cha maji cha kutegemewa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News