Mradi wa maji wa Modogashe wakamilishwa

  • | KBC Video
    5 views

    Serikali ya kaunti ya Garissa imekamilisha mradi wa maji wa Modogashe ambao unatarajiwa kunufaisha zaidi ya watu elf-30. Mji wa Mogogashe umekuwa ukishuhudia uhaba mkubwa wa maji na kuwaacha wakazi kutegemea maji yanayosambazwa na malori au kutoka kwenye visima vidogo. Gavana wa Garissa Nathif Jama ambaye alizindua mradi huo unaohusisha mabwawa na mifereji ya kusambaza maji alisema kampuni ya huduma za maji na usafi ya Garissa itasimamia mradi huo kuhakikisha wakazi wa Modogashe wanapaa maji bila kutatizika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive