Mradi wa maji wabadilisha mandhari Ilima, Makueni

  • | KBC Video
    48 views

    Kaunti ya Makueni, inayofahamika kama eneo ukame lenye uhaba wa maji, sasa linaandikisha historia mpya kupitia mpango wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Mpango huu wa Bwawa la Wautu Kyangaati katika Wadi ya Ilima unabadilisha mandhari ya eneo hili kutoka ardhi kavu hadi mashamba ya kijani yanayonawiri. Mwanahabari wetu wa mazingira, Opicho Chemtai, ametuandalia taarifa ifuatayo kuhusu jinsi juhudi za kukarabati mto wa msimu zinarejesha sio mandhari mtu, bali pia matumaini na mavuno.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive