Skip to main content
Skip to main content

Mradi wa ujenzi wa barabara waleta manufaa mengi Tarbaj Wajir

  • | Citizen TV
    6,173 views
    Duration: 3:59
    Wakazi wa eneo bunge la Tarbaj katika Kaunti ya Wajir wameanza kunufaika na ujenzi wa barabara kuu unaoendelea katika eneo hilo. Mbali na kuboresha miundomsingi, mradi huo umenufaisha jamii kwa wahisani kuchimba visima vya maji, kuwapa vijana ajira na usambazaji wa chakula cha Iftar kwa familia zilizoathiriwa na ukame wakati huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.