22 Aug 2025 1:47 pm | Citizen TV 263 views Duration: 1:45 Wakulima kwenye mradi wa unyunyiziaji maji wa bura sasa wana kila sababu ya kutabasamu baada ya serikali kupunguza ada ya kulipia maji ya unyunyiziaji shambani kutoka shilingi 7500 hadi shilingi 5000.