Mradi wa usafiri wa umma wa BRT umekwama

  • | Citizen TV
    2,386 views

    Ukosefu wa fedha umelemaza kukamilika kwa mfumo wa uchukuzi wa basi za kasi maarufu kama BRT. mfumo huo wa usafiri ulilenga kutenga maeneo maalum yatakakopita mabasi yenye uwezo wa kusafirisha abiria kwa wingi jijini Nairobi na kupunguza msongamano wa magari. na kama anavyoarifu Serfine Achieng, mamlaka ya usafiri wa jiji la nairobi inasema kuwa shilingi bilioni 3 bado zinahitajika kukamilisha awamu ya kwanza ya mradi huo.