Mradi wa visima maeneo kame kufadhiliwa na benki ya dunia

  • | K24 Video
    118 views

    Zaidi ya watu milioni 1.5 kutoka maeneo kame ya kaunti 5 humu nchini, wanatarajiwa kunufaika na mradi wa visima vya maji unaofadhiliwa na benki ya dunia. Mradi pia unatarajiwa kukabiliana na mafuriko ya kila mara katika kaunti hizo. mradi huo utakaogharimu mamilioni ya dola na unaofahamika kama the Horn of Africa ground water for resilience, pia utatekelezwa katika mataifa manne ya upembe wa Africa. kaunti zitakazonufaika ni Mandera, Garissa, Wajir, Marsabit na Turkana.