Mratibu wa Bonde la Ufa afanya mkutano wa usalama eneo la Transmara

  • | Citizen TV
    237 views

    Mratibu wa Bonde la Ufa Abdi Hassan amezuru eneo la Transmara kwenye mpaka wa Nkaararo na Enoreetet kutathmini hali ya usalama. Nyumba 20 ziliteketezwa kwenye mzozo ulioibuka majuzi huku wakazi wengi wakirotoka kwao.