Mrengo wa Azimio wasusia kikao cha bajeti

  • | KBC Video
    45 views

    Baadhi ya viongozi wa mrengo wa Azimio walisusia kikao cha bunge kulalamikia kuwasilishwa kwa bajeti ya kitaifa ya mwaka 2023/24. Wakiongozwa na kiongozi wa wachache katika bunge la taifa, Opiyo Wandayi, wabunge hao walipinga mapendekezo ya bajeti hiyo iliyowasilishwa na waziri wa fedha Profesa Njuguna Ndung'u wakisema utaratibu wa kutayarisha bajeti hiyo haukuwa halali. Upinzani sasa unaweka mkakati wa kubwaga muswada wa fedha utakaosomwa bungeni kwa mara ya tatu juma lijalo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #azimiolaumoja #budget2023