Mrengo wa Azimio; Yuko wapi Maina Njenga

  • | KBC Video
    36 views

    Mrengo wa Azimio sasa unasema kwamba,aliyekuwa kiongozi wa kundi la Mungiki, Maina Njenga alitekwa nyara na polisi. Akiwahutubia wanahabari katika makao ya Jaramogi Oginga Odinga , Kiongozi mwenza wa mrengo huo Martha Karua, amemtaka inspecta jenerali wa polisi Japhet Koome kuelezea alipo Njenga. Familia yake inadai kuwa, alitekwa nyara na watu wasiojulikanausiku wa jana na juhudi za kumtafuta hazijafua dafu. Mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim anatujuza mengi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News