Skip to main content
Skip to main content

Mrengo wa Linda Mwananchi utaandaa mkutano wa umma sambamba na wa wajumbe wa ODM

  • | Citizen TV
    4,217 views
    Duration: 2:40
    Mrengo wa ODM wa linda mwananchi sasa unasema utaandaa mkutano sambamba wa umma tarehe 27 mwezi huu, wakati wa mkutano wa wajumbe wa ODM. Wanasiasa hawa pia wakitaka ukomavu wa siasa kufuatia matamshi ya matusi yaliyoshuhudiwa kwenye majukwaa ya siasa karibuni.