Skip to main content
Skip to main content

Mrengo wa linda mwananchi wapuuza ripoti ya ajenda 10

  • | Citizen TV
    2,178 views
    Duration: 2:04
    Viongozi wa mrengo wa linda mwananchi wamepuuza ripoti ya kamati ya maridhiano iliyowasilishwa hapo jana mbele ya wabunge wa ODM na UDA. Viongozi hao wakiongozwa na seneta wa Nairobi Edwin sifuna wamesema kuwa maswala yote yaliyotakiwa kutekelezwa bado hayajaangaziwa na serikali.