Msaada wa viti vya magurudumu watolewa Kakamega

  • | Citizen TV
    128 views

    Ni afueni kwa watu wanaoishi na ulemavu katika kaunti ya bungoma baada ya serikali ya kaunti kwa ushirikiano na wakfu wa walk about kutoa msaada wa viti vya magurudumu..