Msafara wa blueband mashinani wachangamsha mashabiki Siaya

  • | Citizen TV
    265 views

    Baada ya mapumziko ya siku moja, msafara wa blueband mashinani ukiongozwa na stesheni ya ramogi fm, umezuru kaunti ya siaya kwa madhumuni ya kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa lishe bora katika jamii.