- 426 viewsDuration: 3:37Msafara Wa jipange Na Viusasa umeingia eneo la Kati, Msafara ukivutia umati mkubwa Wa wakazi mjini Limuru licha YA manyunyu YA mvua. Msafara unazuru miji Na vijiji kaunti ya Kiambu na tamati itakuwa majira ya jioni mjini Kiambu. Msafara Huu utazuru kote nchini kuadhimisha miaka minane ya Viusasa Na kuwazawadi wapenzi Wa Viusasa ambao wamekuwa wakitazama vipindi vya kusisimua kwenye kiunzi cha Viusasa.