Msafara wa M-Pesa Sokoni umefika tamati hii leo

  • | Citizen TV
    249 views

    Msafara wa M-PESA sokoni umekamilika rasmi leo baada ya ziara ya siku 30 ya kukutana na wateja wa Safaricom kote nchini kwa shamrashamra za maadhimisho ya miaka 30 ya huduma za M-PESA nchini. Ushirikiano thabiti wa Kampuni ya RMS na M-PESA kufanikisha shughuli hii iliyowakutanisha safaricom na wateja wake mashinani.