Msafara wa M-PESA sokoni waingia kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    58 views

    Msafara wa MPESA sokoni umeingia siku yale ya pili eneo la nyanza, hii leo msafara ukizuru kaunti ya kisii kwa madhumuni ya kusherehekea na wateja wa safaricom Miaka 18 ya mafanikio ya MPESA nchini. Kampuni ya safaricom imeshirikiana na kampuni ya royal media services kufanikisha shughuli hii mashinani