Msafara wa M-pesa sokoni wakamilika leo

  • | Citizen TV
    52 views

    Msafara wa MPESA Sokoni eneo la mlima kenya unakamilika leo kwa ziara ya Chuka kaunti ya Tharaka Nithi, Runyenjes kaunti ya Embu na pia Embu mjini