Msafara wa M-Pesa Sokoni wawasili katika eneo la Mlima Kenya

  • | Citizen TV
    276 views

    Msafara wa MPESA Sokoni umewasili eneo la Mlima Kenya na kuzuru kaunti za Kiambu, Murang’a, Nyeri, Meru, Laikipia, Embu na Kitui. Msafara huu ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 18 ya huduma za MPESA nchini, ukiwalenga wateja wa Safaricom mashinani. Kampuni ya Safaricom imeshirikiana na Royal Media Services kupitia vituo vya redio vya Inooro FM na Radio Citizen kufanikisha ziara hii.