Msafara wa M-Pesa sokoni wazuru mlima Kenya kuadhimisha miaka 18 ya huduma

  • | Citizen TV
    116 views

    Msafara wa mpesa sokoni umezidi kupamba moto katika ukanda wa mlima kenya, katika shamrashamra za kuadhimisha miaka 18 tangu kuzindiliwa kwa huduma za mpesa nchini. Safaricom inatumia fursa hii kuhamasisha umma kuhusu mbinu mbalimbali za kujiendeleza kiuchumi. Msafara huu unafanikishwa kwa ushirikano wa safaricom na vituo vya radio vinayomilikiwa na kampuni ya Royal Media Services.