- 292 viewsDuration: 8:34Kampuni ya Royal Media Services imetua sokoni Oyugis kaunti ya Homabay Kwa shughuli za kukutana Na wasikilizaji Wa Radio citizen. Wakishirikiana Na wadhamin mbalimbali wakiwemo kampuni ya mawasiliano ya Safaricom, Joymillers Na Pepsi watakita kambi Nyanza Kwa siku tatu. Kesho mseto campus tour utarindimwa Katika Chuo Kikuu cha Kisii.